Masuala Ibuka katika Fasihi: Mfano wa Insha za Kifasihi za "Staffroom Diary" katika Magazeti ya ‘Sunday Nation’ (Kenya) na ‘Citizen’ (Tanzania

Authors

  • Moses Wamalwa Wasike Chuo Kikuu cha Moi Author
  • Magdaline Wafula Chuo Kikuu cha Moi Author
  • Mosol Kandagor Chuo Kikuu cha Moi Author

Keywords:

Masuala Ibuka, Mtazamo-Kike, Mtafaruku wa Kibabe, Udenguzi, Uhalisia

Abstract

Makala za Staffroom Diary ambazo huwasilishwa kwa mseto wa Kiigereza na Kiswahili, ni aina ya insha za kifasihi za mienendo ambazo mbali na kutekeleza jukumu la kuburudisha na kujipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa wasomaji wa magazeti ya “Sunday Nation” (Kenya) na “Citizen” (Tanzania) hutekeleza jukumu kuu la fasihi ambalo ni kuzindua na kuelimisha jamii kuhusu masuala anuai yanayoikabili. Kwa kuzingatia nadharia za Udenguzi na Uhalisia, makala hya yanabainisha masuala ibuka yanayojumuishwa katika uandishi wa Mwalimu Andrew.

Downloads

Published

30-09-2020

Issue

Section

Articles