Mikakati ambayo Wanaume Wanatumia katika Harakati za Kupigania Ukombozi Wao katika Riwaya Teule za Kiswahili

'Njozi Yapata Mtenzi' na 'Nguu za Jadi'

Authors

  • Patricia Waeni Janvan Chuo Kikuu cha Nairobi Author
  • Kineene wa Mutiso Chuo Kikuu cha Nairobi Author
  • Mary N. Ndung’u Chuo Kikuu cha Nairobi Author

Keywords:

Uwezo-Mkuu wa Kiume, Wanaume, Ukombozi, Mkakati

Abstract

Makala haya yanachunguza mikakati ambayo wanaume wametumia katika harakati za kupigania ukombozi wao. Jinsia ya kiume imeteuliwa kimaksudi kutoka riwaya teule za Kiswahili Njozi Yapata Mtenzi (2018) na Nguu za Jadi (2019). Makala haya yameegemea Nadharia ya Uwezo-Mkuu wa Kiume. Kazi hii itasaidia kupiga msasa harakati za kuwakomboa wanaume kutoka makundi ya watu kandamizi na athari za ukandamizaji. Kadhalika, ukombozi huu unaweza kuwa wa kifikra, kiuchumi, kidini na hata kiutamaduni. Hata hivyo, bila kuwabadilisha wanaume na wanawake, mabadiliko ya kumkomboa mwanaume wa kisasa hayatapatikana kwa ukamilifu. Ni muhimu kuwa nafasi mpya na majukumu mapya ya wanawake yaende sambamba na nafasi mpya na majukumu mapya ya wanaume ili ukandamizaji wa jinsia ya kiume upunguzwe.

References

Bly, R. (1990). Iron John: A Book about Men. New York: Minesota Publishers Limited.

Bovens, M. (1998). The Quest for Responsibility: Accountability and Citizenship in Complex Organisations. Cambridge: Cambridge University Press.

Chaterji, S. A. (2004). Signs of Change in Patriarchal Ideas about Men and Women‟s Status and Role in Indian Society. https://www.irenees.net/bdf_dossier-441_en.html.

Connell, R. W. (1987). Gender and Power. Cambridge: Stanford University Press.

Connell, R. W. (2005). Masculinities. Berkeley: University of California Press.

Frimpong, Y. (2012). The Woman in the 21st Century and Her Effect on the Society. https://m.modernghana.com

Garten, M. (2021). Utumwa wa Kisasa. https://news.un.org/sw/story.

Hill, J. S. (1977). The Romantic Imagination. London: Macmillan Press Limited.

https://doi.org/10.46743/2160-3715/2001.1994 .

Izugbara, C. (2005). Local Erotic Songs and Chants among Rural Nigerian Adolescent Males. Sex Cult. https://doi.org/10.1007/s12119-005-1014-9.

Kethers, S. (2020). Cooperation in Work. https://Conference.eresearch.edu.au/the-journey-to-the-research-data-alliance-cooperation-16.

Kobia, J. M. na Mung’ahu, R. (2017). Ubabedume katika Ushairi wa Kiswahili: Mfano wa Utenzi wa Fumo Liyongo. https://journals.udsm.ac.tz.index.

Mbatiah, M. (2018). Njozi Yapata Mtenzi. Nairobi: Moran Publishers Limited.

Momanyi, C. (2019). Nguu za Jadi. Nairobi: Queenex Publishers Limited.

Nuissl, H. (2018). Settlement/Settlement Structure. https://nbn-resolving.org/urn:nbn:de:0156.

Parsons, T. (1937). The Structure of Social Action. New York: McGrawHill Publishers Limited.

Sherman, H. J., & Wood, J. L. (1982). Sociology, Traditional and Radical Perspectives. London: Harper & Row Publishers Limited.

Wells, R., & Holland, S. (2001). Social Learning Theory and the Influence of Male Role Models on African American Children: The Qualitative Report.

Willmington, H. L. (2008). Choice of God/Higher Power, Perceptions of God/Higher Power, Religious Beliefs and Behaviours. Cambridge: Stanford University Press.

Downloads

Published

30-04-2025

Issue

Section

Articles

How to Cite

Mikakati ambayo Wanaume Wanatumia katika Harakati za Kupigania Ukombozi Wao katika Riwaya Teule za Kiswahili: ’Njozi Yapata Mtenzi’ na ’Nguu za Jadi’. (2025). Mwanga Wa Lugha, 10(1), 67-76. https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/546