Uanishaji wa Vigezo vya Utoaji wa Majina ya Utani kwa Walimu nchini Tanzania

Authors

  • Davian Buguna Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, UDSM Author
  • Salome Kotira Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, UDSM Author

Keywords:

Majina ya Utani, Walimu, Wanafunzi, Vigezo

Abstract

Wanafunzi huwapa walimu wao majina mbalimbali ya utani kipindi wawapo shuleni. Majina hayo hurejelea sifa tofauti tofauti zinazowahusu walimu hao ama moja kwa moja au si moja kwa moja. Je kuna sababu gani za utoaji wa majina hayo ya utani? Je ni vigezo gani hutumika katika kutoa majina hayo ya utani kwa walimu? Haya yalikuwa maswali yaliyohitaji kujibiwa na makala haya. Data za utafiti zimekusanywa kupitia hojaji zilizotumwa katika makundi 3 ya WhatsApp ya wanafunzi waliohitimu elimu ya sekondari katika shule ya Star, Nyasho, na Morogoro. Matokeo yanaonesha kuwa majina ya utani hutolewa kwa kuzingatia vigezo mbalimbali. Aidha, sababu zinazochochea utoaji wa majina hayo ni mahusiano mabaya kati ya walimu na wanafunzi, walimu kutofahamika majina kwa wanafunzi wao na tofauti za uzungumzaji.

References

Chevalier, S. (2004). Nicknames in Australia. Bulletin Suisse de Linguistique Appliquée, 80 (Winter), 125-137.

Chevalier, S. (2006). Ava to Zac: A sociolinguistic study of given names and nicknames in Australia. Tubingen: Francke Verlag.

Crozier, W. R. (2002). Donkeys and Dragons: Recollections of schoolteachers' nicknames. Educational Studies, 28(2), 133-142.

Crozier, W. R., & Dimmock, P. S. (1999). Name-calling and nicknames in a sample of primary school children. British Journal of Educational Psychology, 69(4), 505-516.

de Klerk, V. na Bosch, B. (1996). Nicknames as sex-role stereotypes. Sex Roles, 35(9-10), 525-541.

Fernandez, C. (2008). Sociolinguistic patterns in onomastics. Revista Española de Linguistica, 38(2), 5-20.

Koss, G. (2006). Nicknames: Variation and internal differentiation in a linguistic field. Beitrage zur Namenforschung, 41(1), 1-12.

Mehrabian, A., and Piercy, M. (1993). Differences in positive and negative connotations of nicknames and given names. The Journal of Social Psychology, 133, 737-739.

Molefe, L. (2001). Onomastic aspects of Zulu nicknames with special reference to source and functionality. (Doctoral dissertation, University of South Africa, Pretoria, South Africa, 2000). Dissertation Abstracts International, 62.

Mutembei, A. K. (2009). UKIMWI Katika Fasihi ya Kiswahili. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu Dar es Salaam. Tanzania.

Mshihiri, A.J. (1970). Utani Relationships. The Shambala. Dar es salaam: Chuo Kikuu cha Dar esSalaam (Haijachapishwa). Dar esSalaam, Tanzania.

Phillips, B. S. (1990). Nicknames and sex role stereotypes. Sex Roles 23(5): 281-289.

Sengo, T. S. Y., (2009). Sengo na Fasihi za Kinchi. Dar es Salaam: Al-amin Education and Research Academy.

Suta D.D., na Mnyamba, F.A. (1999). A Case of Reproduction and Articulation of Utani Among the Bena Ethnic Group in Tanzania.Dar es Salaam, Tanzania.

Starks, Donna and Kerry Taylor-Smith (2011). A Research Report on Nicknames and Adolescent Identity. New Zealand Studies in Applied Linguistics 17(2): 87–97.

Waziri, F. M.,& Dlourine, F. M. (1998). Makala “The Case of Reproduction and Articulation of Utani among the Pare in Tanzania”. Dar es salaam, Tanzania.

Wilson, K.J. (2008). Icelandic nicknames. (Doctoral dissertation, University of California, 2007). Dissertation Abstracts International.

Wong, S. Y. J. (2007). Nicknames in Hong Kong and England: Forms, functions and their relation to personal names and other forms of address (Doctoral dissertation, Open University, Milton Keynes, United Kingdom, 2007). Dissertation Abstracts International.

Downloads

Published

30-04-2025

Issue

Section

Articles

How to Cite

Uanishaji wa Vigezo vya Utoaji wa Majina ya Utani kwa Walimu nchini Tanzania. (2025). Mwanga Wa Lugha, 10(1), 19-25. https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/541