Kanuni za Ubuntu katika Methali za Kiswahili

Authors

  • Lina Akaka Chuo Kikuu cha Daystar Author

Keywords:

Ubuntu, Kiafrika, Methali, Utamaduni

Abstract

Makala haya yalichanganua kanuni za ubuntu zinazojitokeza katika methali za Kiswahili. Kanuni za ubuntu zinadhihirika katika methali sio tu za Kiswahili bali za jamii mbalimbali za Kiafrika. Waafrika walitumia vipera mbalimbali vya fasihi simulizi kuelimisha na kuadilisha wanajamii (Akaka na Wandera-Simwa, 2024). Umoja wa kijamii pamoja na maadili mengine yanayokuza na kuhimiza uhusiano mwema baina ya Waafrika unadhihirika katika fasihi simulizi zao zikiwemo methali. Maadili ya kimaisha yanayosisitiza umoja na thamani nyinginezo miongoni mwa jamii za Kiafrika zimefumbatwa katika methali zao. Maana ya dhana ubuntu inatokana na mojawapo ya methali za jamii za Kiafrika. Ubuntu kama falsafa ilianza kutumiwa katika maandishi tangu mwaka wa 1846 lakini ufafanuzi wa dhana hii unatokana na methali ya Kinguni umuntu ngumuntu ngabantu (Gade, 2011). Mtafiti aliteua kimaksudi kamusi za methali za Wamitila (2001), King’ei na Ndalu (1989) na Omusikoyo (2021) ili kuchanganua kanuni za ubuntu zilizomo katika baadhi ya methali. Methali zilizo na kanuni za ubuntu ziliteuliwa kimakusudi. Kanuni za ubuntu zilizomo zikatambuliwa na kujadiliwa vile zinavyojitokeza katika methali za Kiswahili. Nadharia ya uchanganuzi hakiki wa diskosi kwa mujibu wa Fairclough (1992) iliongoza utafiti huu. Matokeo ya utafiti yalionyesha kuwa methali za Kiswahili zimesheheni kanuni za ubuntu zinazozikumbusha jamii za Kiafrika kushirikiana, kupendana na kujaliana.

References

Akaka, L. na Wandera-Simwa. (2024). Iktibasi katika Methali za Waswahili. Kiswahili, 86(2).

Asante, M. K. (2003). Afrocentricity: The Theory of Social Change. Chicago: African American Images.

Binsbergen, W. V. (2001). Ubuntu and the Globalisation of Southern African Thought and Society, 1(2), 53-89.

Breed, G. na Semenya, K. (2015). Ubuntu, Koinonia and Diakonia, a Way to Reconciliation in South Africa? 71(2), 1-9.

Chaskalson, A. (2002). Human Dignity as a Constitutional Value of our Constitutional Order. South African Journal on Human Rights, 16, 193-205.

Cilliers, J. (2008). In Search of Meaning between Ubuntu and into: Perspectives on Preaching in Post-Apartheid South Africa. A Paper Presented at the Eighth International Conference of Societas (Societas Homiletica), Copenhagen.

Eze, M. O. (2010). Intellectual History in Contemporary South Africa. Palgrave Macmillan.

Gade, C. B. N. (2011). The Historical Development of the Written Discourses on Ubuntu. South African Journal of Philosophy, 30(3).

Gathogo, J. (2008). African Philosophy as Expressed in the Concepts of Hospitality and Ubuntu. Journal of Theology for Southern Africa, 130, 39.

Hailey, J. (2008). Ubuntu: A Literature Review. London: Tutu Foundation.

Kamusi ya Karne ya 21. (2019). Nairobi: Longhorn Publishers.

Kitula, K. na Ndalu, A. (1989). Kamusi ya Methali za Kiswahili. EAEP.

Komparic, A. (2015). The Ethics of Introducing GMOs into Sub-Saharan Africa: Considerations from the Sub-Saharan African Theory of Ubuntu. Bioethics 29(9), 604-612. https://doi.org/10.1111/bioe.12191

Kress, G. (2010). Multimodality: A Social Semiotic Approach to Contemporary Communication. Routledge.

Maitaria, J. N. (2021). Methali za Kiswahili katika Ubainishaji na Uhifadhi wa Mazingira. Taaluma, Jarida la Chakita, 1(1), 73-81.

Mamman, A., & Zakaria, H. B. (2016). Spirituality and Ubuntu as the Foundation for Building African Institutions, Organizations and Leaders. Journal of Management, Spirituality & Religion, 13(3), 246-265.

Mayaka, B., & Truell, R. (2021). Ubuntu and its Potential Impact on the International Social Work Profession. International Social Work, 64(5), 649-662.

Mbendera, R. (2020). Ubuntu Ethical and Values and Africa’s Quest For a Better Home. American Journal of Humanities and Social Sciences Research (AJHSSR), 4(8), 177-187.

Metz, T. (2007). Ubuntu as a Moral Theory: Reply to Four Critics. S Afr J Philos., 26(4), 369- 387. http://doi.org/10.4314/sajpem.v26i4.31495

Metz, T. (2009). The Final Ends of Higher Education in Light of an African Moral Theory. J Philos Edu., 43(2), 179-201. https://doi.org/10.1111/j.1467-9752.2009.00689.x

Metz, T. (2017). A Bioethic of Communion: Beyond Care and the Four Principles with Regard to Reproduction. In Soniewicka M., (Ed.), The Ethics of Reproductive Genetics – Between Utility, Principles and Virtues. New York, NY: Springer International Publishing AG,

Mugumbate, J., & Chereni, A. (2019). Using African Ubuntu Theory in Social Work with Children in Zimbabwe. African Journal of Social Work, 9.

Murithi, T. (2007). A Local Response to the Global Human Rights Standards: The Ubuntu Perspective on Human Dignity. Globalisation, Societies and Education, 5(3), 277-286.

Neal, M. (2014). Respect for Human Dignity as ‘Substantive Basic Norm.’ International Journal of Law in Context, 10(1), 26-46.

Nyaumwe, L. J., & Mkabela. (2007). Revisiting the Traditional African Cultural Framework of Ubuntuism: A Theoretical Perspective. 6:152-163.

Ramose, M. B. (1999). African Philosophy Through Ubuntu. Mond Books

Rampa, S. H., & Mphahlele, L. K. (2016). Supporting Open Distance Learning (ODL) Students through Ubuntu Values. Open Distance Learning (ODL) through the Philosophy of Ubuntu, 119-132.

Sumba, O. T. (2021). Dira ya Methali. African Ink Publishers (Kenya).

Van Dijk, T. A. (2008). Discourse and Context: A Sociocognitive Approach. Cambridge University Press.

Van Leeuwen, T. (2008). Discourse and Practice: New Tools for Critical Discourse Analysis. Oxford University Press.

Venter, E. (2004). The Notion of Ubuntu and Communalism in African Educational Discourse. Stud Philos Educ, 23(2/3), 149-160.

Wamitila, K. W. (2001). Kamusi ya Methali. Nairobi: Longhorn Publishers.

West, A. (2013). Ubuntu and Business Ethics: Problems, Perspectives and Prospects. J Bus Ethics 121(1), 1- https://doi.org/10.1007/s10551-013-1669-3

Wodak, R. (1989). Language, Power, and Ideology: Studies in Political Discourse. John Benjamins Publishing Company.

Wood, A. W. (2008). Kantian Ethics. Cambridge University Press.

Downloads

Published

30-04-2025

Issue

Section

Articles

How to Cite

Kanuni za Ubuntu katika Methali za Kiswahili. (2025). Mwanga Wa Lugha, 10(1), 59-65. https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/545