Tathmini ya Mfumo wa Swahilihub katika Ukuzaji wa Kiswahili Nchini Kenya

Authors

  • Anthoney Oloo Owino Chuo Kikuu cha Kibabii Author
  • Kenneth Inyani Simala Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Masinde Muliro Author
  • John Hamu Habwe Chuo Kikuu cha Nairobi Author

Keywords:

Swahilihub, Kiswahili, Kenya, Arhefs, Similarweb, Msambao wa Uvumbuzi

Abstract

Swahilihub ni tovuti iliyozinduliwa katika mwaka wa 2012 kwa lengo la kukuza Kiswahili mtandaoni. Makala haya yalitokana na utafiti uliolenga kutathmini mradi wa Swahilihub katika ukuzaji Kiswahili. Ili kulifikia lengo hili, utafiti huu ulikusudia kubaini namna mfumo wa Swahilihub unavyochangia katika ukuzaji Kiswahili nchini Kenya. Mwelekeo mseto wa utafiti unaohusu matumizi ya mbinu za kimaelezo na kijarabati kwa pamoja ulitumika katika utafiti huu. Data ya utafiti huu ilikusanywa kwa kutumia uchanganuzi wa matini mtandaoni, mahojiano nyanjani pamoja na hojaji na mijadala miongoni mwa watumiaji wa Swahilihub katika baadhi ya vyuo vikuu nchini Kenya. Aidha utafiti huu ulitumia ARhefs na Similarweb ambavyo ni vifaa vya tathmini ya tovuti ili kutathmini viwango vya ukubalifu na ustahilifu wa Swahilihub miongoni mwa watumiaji wake. Data ya utafiti huu ilichanganuliwa kutokana na malengo ya utafiti na kuongozwa na mihimili ya Nadharia ya Msambao wa Uvumbuzi ya Rodgers (2003). Matokeo ya utafiti huu yaliwasilishwa kwa njia za maelezo, majedwali, picha, michoro na chati. Aidha utafiti huu ulizua tasnifu kuwa utanuzi wa teknolojia pamoja na ustawi wa Swahilihub ni nafasi nzuri ya uundaji wa dira ya ukuzaji endelevu wa lugha ya Kiswahili mtandaoni.

References

Aghaei, S., Nematbakhsh, M. A., & Farsani, H. K. (2012). Evolution of the World Wide Web: From WEB 1.0 TO WEB 4.0. International Journal of Web & Semantic Technology, 3(1), 1-10.

Alexa. (2017). Alexa About. Retrieved June 15, 2018, from https://www.alexa.com/about

Alexa. (2018, October 10). The Top 500 Sites on The Web. Retrieved from https://www.alexa.

Arvi, H. (2004). Helsinki Corpus of Swahili. Compilerers: Institute for Asian and African Studies (University of Helsinki) and CSC.

Arvi, H. (2004). Swahili Language Manager: A Storehouse for Developing Multiple Computational Applications. Nordic Journal of African Studies, 13, 363-397.

Bakiza (2010). Swahili Grammar and Workbook. Routledge.

Batul, F. (2009). Chatspeak: Linguistic Evolution or Devolution. New York: Pergamon Press

Best & Khan, R. M. I. (2010). Use of Mobile Immersion in Foreign Language Teaching to Enhance Target Language Vocabulary Learning. MIER Journal of Educational Studies Trends and Practices, 66-82.

Chimera, R. (2000). Kiswahili: Past, Present and Future Horizon: Nairobi: Nairobi University Press.

Cooper, R., & Robert, W. (1990). Information Technology Implementation Research: A Technological Diffusion Approach Stable. URL: https://www.jstor.org/stable/2661451

Diffily, S. (2006). The Website Manager’s Handbook.

Dorr, A. (1984). Television and Children. Calif: Newbury Park.

DoubleClick. (2016). The Need for Mobile Speed. Google.

Gikambi, H. (2014). 'Mgeni Njoo Mwenyeji Atambe' - Athari Za Facebook, Twitter na Youtube katika Vyombo vya Habari Vitumiavyo Kiswahili. Makala kwenye Kongarnano la Swakc. http://www.afrikanistik.uni-bayreuth.de/de/colloq/swahili_colloq/index.html.

Google. (2018b). Improve Server Response Time. Retrieved July 26, 2018, from https://developers.google.com/speed/docs/insights/Server

Google. (2018c, September 30). Transparency report. Retrieved from https://transparencyreport. google.com/safe-browsing/overview

Google. (2019, January 21). From the Garage to the Googleplex. Retrieved from https://www. google.com/about/our-story/

Green, J. C. (1989). Towards a Conceptual Framework for Mixed Methods Evaluation.

Green, J. C. (2008). Is Mixed Methods Social Inquiry a Distinctive Methodology?

Jagero, J. A., Mohochi, E. S., & Indede, F. (2013). The Usage of Kiswahili in Blog Discourse and the Effects on Its Development. International Journal of Humanities and Social Science, 3(14), 192-199.

Jelimo, D. (2015). Athari za Lugha za Tovuti katika Mustakabali wa Ufundishaji wa Kiswahili. Mount Kenya University.

Kamusi ya Cambridge. (2015). The Cambridge Dictionary of Psychology. Reference Reviews, 24(3), 8-8.

Leung, D., Law, R., & Lee, H. (2016). A Modified Model for Hotel Website Functionality Evaluation. Journal of Travel & Tourism Marketing, 33(9), 1268–1285.

Leung, X. Y., Bai, B., & Stahura, K. A. (2015). The Marketing Effectiveness of Social Media

Lulu, G. L. (1987). Microcomputers in Education: Elements of Computer-Based Curriculum in Education. Washington: US Government Printing Office.

Maina. (2016). http:www.mwananchi.co.tz/swahilihub/1597604-2779982;

Moraa, J. M. (2012). Uzalishaji wa Msamiati katika Mradi wa Microsoft East Africa 2004-2009 [Haijachapishwa]. Tasnifu ya M.A ya Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Mugenda, O., & Mugenda, A. (2003). Qaulitative and Quantitative Approaches. Nairobi: Acts Press.

Njihia, K. (2005). A Digital Divide: Kiswahili Holds the Key. Journal of Language, Technology & Entrepreneurship in Africa, 1(1), 133-143.

Njihia, K. (2015). Taathira za Kiswahili na Lugha Nyingine kwa Uthabiti wa Kiisimujam wa Lugha za Mama Mijini Nairobi, Kiambu na Thika: Mfano wa Kikuyu. [Tasnifu Isiyochapishwa]. Chuo Kikuu cha Kenyatta

Owino, A. (2011). Tathmini ya Matumizi ya TEKNOHAMA katika Ufundishaji wa Riwaya ya Kiswahili katika Shule za Upili Wilayani Kisumu Magharibi. [Tasnifu ya Uzamili Isiyochapishwa]. Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Masinde Muliro.

Owoche, P. (2019). Online Hotel Branding Based on the Dialogic Principles of Internet Communication [Unpublished]. Doctoral Dissertation, Kibabii University.

Simala, I. K.(2002). Utafiti wa Kiswahili. Maseno, Chuo Kikuu cha Maseno.

SimilarWeb. (2019, January 21). Hotels.com Traffic Sources. Retrieved from https://www.similarweb.com/website/hotels.com#overview

TUKI. (2006). Kamusi ya Kiingereza-Kiswahili (3rd Ed). Taasisi ya uchunguzi wa Kiswahili, Chuo kikuu cha Dar-es-salaam.

Wamalwa, S. (2016). Tathmini ya Uwasilishaji na Upokezi wa Taarifa za Hadari za Kiswahili katika Tovuti ya Swahilihub [Tasnifu Isiyochapishwa]. Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Downloads

Published

30-04-2025

Issue

Section

Articles

How to Cite

Tathmini ya Mfumo wa Swahilihub katika Ukuzaji wa Kiswahili Nchini Kenya. (2025). Mwanga Wa Lugha, 10(1), 119-137. https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/551

Similar Articles

31-40 of 249

You may also start an advanced similarity search for this article.