Kiswahili na Siasa

Uchanganuzi wa Ishara na Tamathali katika Tamthilia ya 'Visiki' Kisemiotiki

Authors

  • Sanja Leo Leonard Chuo Kikuu cha Nairobi Author

Keywords:

Visiki, Mapisi, Siasa, Semiotiki

Abstract

Makala haya yanachunguza fasihi na siasa kupitia tamthilia ya Kiswahili. Lengo kuu la makala haya ni kuchanganua ishara na maana za kisiasa na jinsi zinavyojitokeza katika tamthilia ya Visiki kwa kutumia nadharia ya semiotiki, misimbo ya Barthes ya kiseme,kiishara na matukio. Kisemiotiki, ishara huathiri namna msomaji wa matini za kifasihi huishia kufasiri maana nasibishi ya kina ya matini. Tulifasiri ishara na uashiriaji katika tamthilia ya Visiki kwa sababu kisemiotiki, lugha ya kiishara huwa na uwezo wa kuwasilisha maana mbalimbali kwa njia ya uashiriaji. Kutokana na ufasiri huo wa ishara, makala haya yanajadili kuwa, wakati umefika ambapo siasa za bara hili zinastahili kubadilika na kuzingatia demokrasia za Kiafrika, haki za wapiga kura, za kibinadamu pamoja na kukumbatia maarifa mapya ya kisasa. Makala inahitimisha kwamba, Mataifa ya Kiafrika ni sharti yazinduke kisiasa na kukomesha lawama dhidi ya mataifa ya Kimagharibi kila yanaposhindwa kudhibiti hali nchini mwao.

References

Akaranga, S. D. I. (1987). Semi za Kiswahili: Maana na Matumizi. Nairobi: Oxford University Press.

Ali, M. (2013). Jadeed adbi tanqidi nazarya. (Sindhi). Sukhar: My Publication Press.

Amana, B. (1982). Malenga wa Vumba. Nairobi: Oxford University Press.

Arege, T., & Matei, A. (2005). Kunga za Kiswahili 3: Kitabu cha Mwanafunzi. Nairobi: FocusPublishers.

Atkin, A. (2013). Peirce’s Theory on Signs. Stanford Encylopedia of Philosophy.

Barry, P. (2002). Beginning Theory: An Introduction to Literary and Cultural Theory. Manchester: Manchester University Press.

Barthes, R (1957). Mythologies. New York: Hill & Wang.

Barthes, R (1967). Elements of Semiology (trans. Annette Lavers & Colin Smith). Jonathan Cape.

Barthes, R. (1964). Elements of Semiology. New York: Hill and Wang.

Barthes, R. (1968). Elements of Semiology (1st Ed.). New York: Hill and Wang.

Barthes, R. (1974). S/Z. (R. Miller, Trans.) United Kingdom. Blackwell Publishing Ltd.

Barthes, R. (1981). “Theory of the Text” Ian Macleod (Trans. Katika R. Young (Ed.), Untying the Text. London: Routledge.

Barthes, R. (1997). Image-Music-Text. S. Heath (Ed.). The Journal of Aesthetics and Criticism (Vol. 37), (220.) Hill and Wang.

Barthes, R. (2016). https://monoskop.org/images/2/2c/Barthes_Roland_Elements_of_Semiology_1977.pdf

Bradford, R. (1977). Stylistics. The Critical Idiom. London: Routledge.

Charles, S. H. (1977). Semiotic and Significs: The Correspondence between Charles S. Peirce and Victoria Lady Welby. Indiana: Indiana University Press.

Chiraghdin, S. & Mnyampala, M. (1977). Hisitoria ya Kiswahili. Nairobi: Oxford University Press.

Chiraghdin, S. (1974). Kiswahili na Wenyewe. Mulika, 6, 35-41. Nairobi: Oxford University.

Jakobson, R. (1985). Selected Writings. Stephen Rudy (Ed.). Paris: Mouton.

Kezilahabi, E. (2008). Dhifa. Nairobi: Vide Muwa Publishers.

Khaemba, O. (1984). Visiki. Nairobi: EAE Publishers.

Kingei, G. K. & Kisovi, C. N. M. (2005). Msingi wa Fasihi Simulizi. Nairobi: Kenya Literature Bureau.

Lambert, H. E. (1957). Ki-Vumba, a Dialect of the Southern Kenya Coast. Kampala: East African Swahili Committee, Makerere College.

Lambert, H. E. (1965). Some Intiation Songs of the Southern Coast. Swahili, 35(1), 49-67.

Maliki, A. (2019). Alustath Journal for Human &Social Science. Vol. 58, issue 3. (uk. 403-434)

Mckay, W. F. (1975). Pre-Colonial History of the Southern Kenyan Coast. Unpublished PhD, Dissertation, Boston University.

Mohamed S. M. (1978). Nyota ya Rehema. Nairobi: Oxford University Press.

Ndalu & King’ei, G. (1989). Kamusi ya Methali. Nairobi: EAEP.

Ryan, A. (2012). On Politics: A History of Political Thought from Herodotus to the Present. London: Allen Lane.

Sanja, L. W. L (2022). Uhakiki wa Ishara na Tamathali Katika Ushairi, Masimulizi na Semi: Mtazamo wa Kisemiotiki wa Fasihi ya Kivumba. Unpublished Thesis, Kenyatta University.

Sanja, L. W. L. (2020). Taasubi Katika Shirikina za Kivumba: Mtazamo wa Kisemiotiki. Jarida la Mwanga wa Lugha, 5(2), 165-74.

Sanja, L. W. L., & Others (2022). Siasa, Uchumi na Ustawi wa Jamii: Mtazamo wa Kisemiotiki wa Ushairi wa Kivumba. Jarida la Mwanga wa Lugha, 7(1), 89-103.

Sanja, L. W. L., Kitula, K., & Wafula, R. (2020). Socio-Economic, Political and Religious Realties: Semiotic Interpretation of Selected Kivumba Oral Narratives. International Journal of Creative Research and Studies (ITJCRS), 4. ISSN-0249-4655.

Sanja, L. W. L., Kitula, K., na Wafula, R. (2020). Semiotic Survey of Kivumba Superstitions. International Journal of Innovative Research and Knowledge, 5(5). ISSN- 2213-1356.

Senkoro, F. M. K. (1984). Fasihi. Dar es Salaam: Press and Publicity Centre.

Senkoro, F. M. K. (1988). Ushairi: Nadharia na Tahakiki. Dar es Salaam: Dar es Salaam University Press.

Senkoro, F. M. K. (2012). Fasihi kwa Watoto wa Kitanzania. Mswada. Haujachapishwa.

TUKI (1999). Tenzi Tatu za Kale. Dar es Salaam: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

TUKI (2004). Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Dar es Salaam: TUKI.

Van der Eijk, C. (2018). What is Politics? The Essence of Politics. Amsterdam: Amsterdam University Press, 9–24.

Wafula, R. M. (1999). Uhakiki wa Tamthilia Historia na Maendeleo Yake. Nairobi: The Jomo Kenyatta Foundation.

Wales, K. (2011). A Dictionary of Stylistics (3rd Ed.). London: Routledge.

Wamitila, K .W. (2002a). Uhakiki wa Fasihi, Misingi na Vipera Vyake. Nairobi: Phoenix Publishers.

Wamitila, K .W. (2002b). Kamusi ya Misemo na Nahau: Lulu za Lugha 1. Nairobi: Longhorn Publishers.

Wamitila, K .W. (2003). Kamusi ya Fasihi, Istilahi na Nadharia. Nairobi: Focus Publishers.

Downloads

Published

30-04-2025

Issue

Section

Articles

How to Cite

Kiswahili na Siasa: Uchanganuzi wa Ishara na Tamathali katika Tamthilia ya ’Visiki’ Kisemiotiki. (2025). Mwanga Wa Lugha, 10(1), 11-17. https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/540

Most read articles by the same author(s)