Uzingativu wa Yaliyoandikwa kuhusu Mada
Mifano kutoka Baadhi ya Tasnifu za Kiswahili
Keywords:
Yaliyoandikwa, Utafiti, Mada, Thamani ya UtafitiAbstract
Makala haya yanajadili nafasi ya yaliyoandikwa kuhusu mada katika taaluma ya utafiti. Mwandishi anarejelea data au kazi mbalimbali za kitafiti katika viwango vya uzamili na uzamivu ili kutoa tahadhari kwa watafiti na wanataaluma wanapokuwa mbioni katika kutekeleza majukumu ya kitafiti. Mwandishi anajadili suala la mchango na manufaa ya utafiti kwa jamii hasa inapotokea kwamba utafiti unaohusika ni wa awali na haujawahi kufanywa na watafiti watangulizi. Makala yanajadili mustakabali wa utafiti katika taaluma za Kiswahili, huku akionyesha namna ya kujiepusha na changamoto zinazoendana na utafiti, katika mapana na marefu yake.
Downloads
Published
																			01-09-2020
																	
				Issue
Section
								Articles
							
						How to Cite
Uzingativu wa Yaliyoandikwa kuhusu Mada: Mifano kutoka Baadhi ya Tasnifu za Kiswahili. (2020). Mwanga Wa Lugha, 5(1), 213-224. https://journals.mu.ac.ke/index.php/mwl/article/view/32